Masaibu ya Kushabikia Stars

Masaibu ya Kushabikia Stars

Kwanza kabisa, ningependa kuwaomba radhi enyi wasomaji wetu tunaowaenzi na kuwathamini si haba. Kwa kawaida mitungo yote kwenye The Dug Out huwa imeandikwa kwa lugha ya Kimombo, lakini kwa vile leo twagusia masaibu ya timu yetu ya taifa, tutajaribu kuswahilisha hisia...
Utata wa Kushabiki

Utata wa Kushabiki

Je, wewe ni shabiki wa aina gani? Ama, wafaa kuwa shabiki wa aina gani? Ni swala ambalo limenitatiza si haba. Kwa kila mpenzi wa mchezo wa kabumbu, au mchezo wowote ule ni lazima kama ibada kuiunga mkono timu yako kwa vyovyote vile, kwa udi na uvumba. Ila, kuna jambo....