Category: Kiswahili

Masaibu ya Kushabikia Stars

Masaibu ya Kushabikia Stars

March 29, 2016 By Fabian Odhiambo

Kwanza kabisa, ningependa kuwaomba radhi enyi wasomaji wetu tunaowaenzi na kuwathamini si haba. Kwa kawaida mitungo yote kwenye The Dug Out huwa imeandikwa kwa lugha ya Kimombo, lakini kwa vile leo twagusia masaibu ya timu yetu ya taifa, tutajaribu kuswahilisha hisia zetu, angalau kwa leo tu, pia ndiposa ujumbe upate kuwafikia wengi wa wananchi wenzetu.

Read More

Utata wa Kushabiki

March 7, 2015 By Fabian Odhiambo

Je, wewe ni shabiki wa aina gani? Ama, wafaa kuwa shabiki wa aina gani? Ni swala ambalo limenitatiza si haba. Kwa kila mpenzi wa mchezo wa kabumbu, au mchezo wowote ule ni lazima kama ibada kuiunga mkono timu yako kwa vyovyote vile, kwa udi na uvumba. Ila, kuna jambo. Je, hakuna nafasi ya kukashifu matokeo

Read More
Utata wa Kushabiki